12
Apr

Nyota na Viganja vya Mikono

iganja ndio majani ya kiumbe aitwae mwanadamu na ndio maana huhusika na kilakitu katika maisha ya binadamu ikiwemo kumtafutia binadamu rizki Yake na ndipo ubongo unapata nafasi ya kuvingiiza katika wizi lakusikitisha nikwamba viganja ndio vinabaki na kumbu kumbu za wizi wote alio ufanya binadamu.

Nyota na Viganja vya Mikono
Nyota na Viganja vya Mikono

Kwahili naomba msomaji ufanye uchunguzi utabaini ukweli wa haya MTU anapoanza kushiriki udokozi au wizi basi vidole vyake huanza kujikunja kama vinafumba.
Kadiri binadamu anavyozoea wizi ndivyo vidole vyake vinazidi kujikunja kwahakika kama utampa mtu pesa Alie na vidole vilivyojikunja ukamuaacha mwenye vilivyonyooka halafu ukajikuta umetapeliwa utabaki na lawama lakini huwezi kuipata pesa tena.

Kiganja ni muunganiko wa vipande vidogo vidpogo vya mifupa idadi yake vipo kumi na vinne ndio vinatengeneza taswira na umbo la kiganj, lakini kulingana na elimu ya usomaji viganja kuna ukweli kuwa kiganja kinatafautiana na kingine na kila kiganja kina tafsiri sahihi kabisa ya taswira ya mtu husika kwakumuangalia tu. Jee unajuwa kaisari Julius aliwakuhumuje watu kwakuangalia viganja vyao

Get in Touch with Dr. Mama Okowa
Contact Dr. Mama Okowa
Call: +254708307801
WhatsApp: +254708307801
Bungoma, Nyanza and Western, Kenya