Mganga Wa Kioo Afrika
Kioo ama Mirror Kwa lugha ya kiueng’eng’e has been used since time immemorial by powerful African Traditionalist. Ndugu msomaji hakuna ubishi kwamba viganja ndio mtumishi wa viungo vyote vya mwili mzima viganja vitaosha USO, kupiga mswaki, kula,kuandika, kuoga bila idadi ya Huduma kwa siku huku kiganja cha kushoto kikitegea...