28
May

Asili ya Pete za bahati

Nimeyataja hayo kidogo ili tuone pete na kito zilianza kutumika tangu zamani. Wataalamu wanaangalia pete na kito kwa kulinganisha madini yaliomo humo na maisha ya kila siku ya mwanadamu. Kito kina uwezo mkubwa wa kuzuia mawimbi yatokanayo na mwako wa mionzi ya jua. Jua linazo aina 7 za rangi linapowaka. Kila rangi inamuathiri mtu kutegemea na ilivyo nyota yake. Kuvaa pete stahiki na kito inakua ni sababu ya kuzuia madhara ambayo ungeyapata …ikiwa ni kuvurugwa au kuharibikiwa mipango yako ya maisha ya kila siku. Usivae pete na kito ikiwa hujui maana ya kito hicho . Watu wengi wanavaa pete na kito kwa kutarajia mafanikio katika maisha ya kila siku lakini haiwasaidii chochote. Sababu kubwa ni kutotambua utaratibu mzuri wa kuvaa pete kwa utaratibu wa mzunguuko wa sayari hii ya jua ilivyo

Asili ya Pete za bahati
Asili ya Pete za bahati

Get in Touch with Dr. Mama Okowa
Contact Dr. Mama Okowa
Call: +254708307801
WhatsApp: +254708307801
Bungoma, Nyanza and Western, Kenya