Matumizi ya Chumvi Kuondoa Mikosi Nyumbani
Choma Chumvi ya Mawe.
choma chumvi ya mawe nyumbani kwako na ktk vyumba pia huondoa sana nuksi katika nyumba,vyumba na s
ehemu ya bishara. ila hakikisha chumvi iwe imetokana na maji ya bahari
Choma Udi
hii ni njia iliyotumika sana na watu wa imani, udi huondoa nuksi na kuita malaika wema ndani ya nyumba
Maji Ya Baharini
kupigia deki na maji ya bahari pia huondoa nuksi
Epuka Giza
usipende nyumba yako kuwa na giza pia epuka vitu vyeusi kutawala nyumba yako.
Mawe ya Madini
kama una uwezo nunua mawe ya madini au crystals na weka ktk kona ya nyumba yako. penda sana crystal za kijani,nyeupe na blue
Kurabisha Wageni
kukaribisha wageni kwa kuwapikia ama kuwanywesha kitu halali husaidia kuondoa nuksi nyumbani kwako
Kuwasha Misumaa
penda kuchoma mishumaa mitatu mieupe miwili na orange mmoja. inaaminika mishumaa ni njia kubwa ya kujitibu na kuondoa nuksi. mishumaa mieupe huleta nuru na ulinzi pia orange huondoa uadui mahara flani.
njia hii ya mishumaa hutumika sana na wazungu,wachina,wahindi na watu weupe wengi sana
ni vizuri unapochoma basi kutia nia zako kisha kufanya dua/maombi kwa imani yako vile utakavyo.
Get in Touch with Dr. Mama Okowa
Contact Dr. Mama Okowa
Call: +254708307801
WhatsApp: +254708307801
Bungoma, Nyanza and Western, Kenya